Wote tunajua maana
ya Faragha (privacy), Dunia imebadilika
na kila kitu kinafanyika
kidigital, ni kama
vile kuweka kitu
benki, isipokuwa siku
hizi kila mtu
anamiliki benki yake
binafsi ya hard
drive ya kuhifadhia
vitu vyake muhimu
vyenye thamani zaidi
ya pesa, Na ili
kufanikisha hilo watu
wengi duniani hutumia
vifaa vya kidigitali
Mf. Simu, computers,
external cases na nk.
Leo nitawaonesha jinsi
ya kufungia data
zako za kwenye
computer yako ili
mtu mwingine asiweze
kuvifungua. Ila kabla
sijaanza ningependa kukushauri
kuwa kama kwenye
computer/laptop yako kuna
vitu ambavyo ni
binafsi kwako ni
vizuri usiruhusu kutumika na
mtu mwingine yeyote
zaidi yako wewe
mwenyewe. Ila jua zoezi
hili linawezekana kufanyika
kwenye computer zenye
hard disk iliyo
na partition zaid ya
moja au mbili
pamoja na removable storage.
CHAKUFANYA
1.
Washa
computer yako kisha
nenda kwenye control
panel, Baada ya hapo
fungua system and security
Ukifungua itaonekana
hivi
1. 2Nenda
sehemu iliyoandikwa Bitlocker
3. Ukifungua
utakutana na Drive
Encryption ambapo drive zote
za kwenye PC
yako zitakuwa zimelist
hapo.
3
1.
4. Nenda
kwenye moja ya
drive zako kisha
“turn on”
5.
Utaulizwa
jinsi unavyotaka kufungua
drive zako.
OPTION
ZIPO MBILI (PASSWORD AU SMART CARD) CHAGUA MOJA.
Kama
huna smart card
weka tiki kwenye
box la kwanza
la use a
password to ulock
derive
Kwawale
wanaotumia smart card
hakikisha unaweka smart
card yako kwanza
then ndio ubonyeze
next.
(weka tiki
kwenye password) kisha ingiza
namba za siri unaweza
changanya maneno na
namba ilimradi zianze herufi
au namba 8 na kuendelea.
Baada
ya hapo utaulizwa
jinsi kubackup recovery key kama itatokea umesahau
password yako
Chagua sehemu yeyote uionayo
ni salama kwako. Ila
kwa mimi ningekushauri uisave
kwenye file lolote
ambalo hutaliwekea password (save to a
file) MFANO UNALOCK LOCAL DISK E, backup note
weka local disk D
Ukimaliza bonyeza
next
Chagua
option yoyote ili
encryption ianze (note option ya
chini ndio nzuri
zaidi) ukimaliza bonyeza next
Bonyeza
start encryption ianze
Encryption inaweza chukua
muda mrefu kutokana
na ukubwa wa
drive yako. Kwahiyo
inakubidi uwe na
subira
Asante kwa
kusoma Blog yangu unaweza
pia angalia video
zangu nyingine kupitia
kwenye youtube channel
yangu ya GUALBERT
KASHASHA
No comments:
Post a Comment